Showing posts with label Nje ya lango lyrics. Show all posts
Showing posts with label Nje ya lango lyrics. Show all posts

Saturday, 12 December 2015

EUNICE KINJO. NITAMFUATA NJE YA LANGO LYRICS LYRICS

NITAMFUATA NJE YA LANGO

   Nitamfuata nje ya lango,
   nikifurahia aibu ya msalaba.
   Aliyoibeba mwana Kondoo,
  nitamfuata nje ya lango la Mji.

Nitamfuata nje ya lango,
aliyefanyika dhabihu kwa Msalaba. Alipoangikwa mwana kondoo,
nitamfuata nje ya lango la mji.

CHORUS :
Ameingia mahali pa takatifu,
kwa damu yake tunaukamilifu
Ameingia mahali pa takatifu,
kwa damu yake tunaukamilifu

Nitamfuata nje ya lango,
nikifurahia aibu ya msalaba.
Aliyoibeba mwana Kondoo
nitamfuata nje ya lango la Mji.

Nitamfuata nje ya lango,
aliyefanyika dhabihu kwa Msalaba. Alipoangikwa mwana kondoo,
nitamfuata nje ya lango la mji.

Ameyachukua masikitiko yetu
Amejitwikwa uzuri zetu
Kajeruhiwa kwa makosa yetu
Alichukuliwa kwa maovu yetu.