Monday 7 March 2016

BADO NASIMAMA LYRICS BY KAMBUA

BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua

(CHORUS)
Bado nasimama, bado naendelea
Bado najikaza nifike kulee ×2
Bila neema na rehema zako,
ningekuwa wapi mimi
Bila upendo na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure
Kwa wema wako kanisimamisha na imani yangu ukaiweka salamaa
Kama si wewe mwamba wa wokovu wangu Nisingeweza ningeangamia

(CHORUS)

Nainua macho yangu, kwako ewe baba yangu
Msaada wangu utatoka wapi, msaada wangu u katika bwana
Asinzii, anilindae aniachi mimi nitelezee uuuhh
Anipa nguvu na uwezo wake ili mimi nifike kule Nifike kuleee....
. (CHORUS)

No comments:

Post a Comment