NI WEWE lyrics by Janet Otieno
Kila Kitu Changu Ni Wewe Ninaye Mwimbia,
Ni Wewe Maishani Mwangu,
Nimeamua Ni Wewe Mi Nimeshanganzwa Na Matendo Yako
Baba Ulivyonichukua Na Kunitunza Kama Wako Sa Mi Ni Wako,
Kwangu Kwako Ukanipenda, Ukaniita Mwana Wako
(CHORUS)
Juu, Chini, Kushoto Kulia Sijamwona Kama Wewe Sa Mi Ni Wako,
Kwangu Kwako Ukanipenda,
Ukaniita Mwana Wako Naomba Uniweke Kwako Ndani
Niwe Imara Kama Milima Zayuni Hauta Anguka Kukiwa Na Mawimbi
Wala Kutikiswa Kukiwa Na Adui
Kila Kitu Ni Wewe Kila Kitu Changu Ni Wewe Ninaye Mwimbia,
Ni Wewe Maishani Mwangu, Nimeamua Ni Wewe..
Mi Nimeshangazwa Na Matendo Yako Baba
Ulivyonichukua Na Kunitunza Kama Wako Sa Mi Ni Wako,
Kwangu Kwako Ukanipenda,
Ukaniita Mwana Wako
(CHORUS)
Jua, Chini, Kushoto Kulia Sijamwona Kama Wewe Sa Mi Ni Wako,
Kwangu Kwako Ukanipenda,
Ukaniita Mwana Wako Naomba Uniweke Kwako Ndani Niwe Imara Kama Milima Zayuni
Hauta Anguka Kukiwa Na Mawimbi Wala Kukiwa Na Adui Kila Kitu Ni Wewe
No comments:
Post a Comment