Monday, 7 March 2016

UWEPO LYRICS BY MERCYLINAH WAMBUGU

UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu

(CHORUS)
Uwepo wako nahitaji maishani
Uwepo wako wa dhamana sana
Mimi sitoki hata siendi bila uwepo wako Bwanaa, bwanaa ×2

Ninapowezwa na magonjwa
(Ninaye Jehovah Rapha)

Nikiwa na mahitaji
(Ninaye Jehovah Jireh)

Amani ninapoikosa
(Ninaye Jehovah Shalom)

Moyo wangu tulia
(Tunaye Jehovah Shamah)

Shauku la moyo wangu nipate zaidi yako Zaidi na zaidi na zaidi

(CHORUS)

Hakuna cha kuogopa
(Nunaye El Olam)

Mungu muumbaji wangu
(Ndiye Elohim)

Mchungaji wangu
(Ndiye Jehovah Rohi)

Tena msaidizi wangu
(Ndiye Jehovah Elyon)

(CHORUS)

Katika uwepo wako;
Kuna uponyaji,
twawekwa huru,
kuna amani tena furaha,
kuna ushindi, msamaha,
twatiwa nguvu

(CHORUS)

No comments:

Post a Comment