KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift
Baraka Nimepokea, Kwako Nimetulia Mimi Nisije Tumbukia kwa mambo Ya Dunia
Kwako Nijifiche Milele
Fitina Zanizingira, Anasa Kila Kona
Kwa Mikono Yako, Niweke Mtakatifu Tokeo Leo Hadi Milele
Niwe Radhi Mimi,
Kwa Makosa Yote
Anipenda, Anijali, Anipenda x2
Refrain:
Kazi Ya Msalaba, Nimepokea,
Nimekubali, Nitakusifu,
Nitakuimbia Milele x2
Ilikuwa Ni Juzi Tu, Mwanzo Kwangu Kutembea Ukapumzisha Kwangu Kuongonjea Lakini Kwako Zaidi Nasogea Nishiriki Nawe Kwa Mazoea Zile Kwako Ndo Napokea Nikuone,
Kwangu Baba Ukinitendea Wewe Ndo Wangu Tu
Mimi Na Wewe Tu Nikuone Kwangu Ukinitendea x2
Refrain:
Siri Ni Yesu, Baba
Siri Ni Ye Siri Ni Yesu x2
Refrain
No comments:
Post a Comment