Saturday 12 March 2016

MWANAKE LYRICS BY BENACHI FT. KABERERE

MWANAKE lyrics by Benachi ft. Kaberere

Sawa sawa, sawa sawa Mimi mwanake......
iye Benachi Usinione nimechakaa, unitilie dharau Mimi binadamu...
uuu,
umesahau Unaishi kwa dhamani,
ninaishi kwa imani
Mbele zako mimi sina haki,
mbele zake mimi mwenye haki
Fahamu kuwa mola ndiye aliyeniumba mimi na wewe

(CHORUS)
Mimi mwanake usiku nitalala Mbele zake maulama sote tuko sawa ×2
Kaberere Ulinipuuza mie eti sifai kuwa nawee
Uliniona mie eti hatia kula naweee Sahani moja, tulipotiliwa chakula....
aaah Nyumba moja tulipofaa kuishi pamoja
Wema wake taji la upendo juu yangu Ndani yake vikubwa na uoga,
vyote upeo wa kimya

(CHORUS)
Ooh uwoo uwoo oooh Ulinipuuza mie... eeeh ooh uwoo uwo ooh Sahani moja... eeeh ooh uwoo uwoo ooh Nyumba moja... eeeh ooh uwoo uwo ooh

(CHORUS)

Usiku nitalala mbele zake
Mimi mtoto wake, mimi toto lake
Usiku nitalala nitang'orota
Nitajifunika gubigubi nitang'orota Sitaamka sababu wewe haunipendi Nitalala sana mimi mwanake Chako
ni changu oooh Sote tuko sawa....
yei yei yei Ooooh mmh mmmmh

No comments:

Post a Comment