UWEZO lyrics by A dawn Age Band
NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe Jehova Nissi nlia nihurumie
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako

Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Maumivu machungu mengi yamenijaza mie eh
Jehova Nissi nlia nihurumie, nipe Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe Jehova Nissi nlia nihurumie
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Nipe uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako Ohh aa….
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Wa kusimama imara juu ya neno lako eh Wa kusimama imara juu ya neno lako
No comments:
Post a Comment