HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah k.
Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu Itakayofaulu x2
Silaha Yoyote Itakayotumwa Kwa Njia Moja Au Nyingine
Itawanyishwa Kwa Njia Saba Haitafaulu x2
(Refrain)
Yalionenwa Na Walio Hai Na Walio Kufa Chini Ya Maji Na Nchi Kavu Haitafaulu x2
(Refrain)
Hakuna x3 Itakayofaulu
Neno La Mungu Linasema Hakuna, Uchawi, Mapepo, Unganga, Ushirikina Itakayofaulu Usiogope,
Simama Na Neno La Mungu
Refrain
No comments:
Post a Comment