Monday 7 March 2016

VANITY LYRICS BY DADDY OWEN

VANITY lyrics by Daddy Owen

Yote ni bure, yote ni ubatili Usinidharau Namuona na gari kubwa kuliko shida zake Namuona na wanawake (wanawake) Alisema hakuna mungu watu wajipange, anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka dakitari anatoka ng'ambo Akiboeka apo utaona mambo, maombi kwake ni kelele
Ndio nimeona nikueleze

(CHORUS)
Ooh hashtag Nebucchadnezzar
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag Nebucchadnezzar Haijalishi yale umewezaa Yote ni vanity ooh ooh Vanity ooh,
bila Yesu ni vanity Ooh ooh
Vanity

Namuona na sketi fupi kuliko miaka yake Anataka tumeze mate
Alisema mmoja hawezi zima moto wake Ana wanaume wanane
Haumpati kanisani ila ile siku ya harambee ya Asusu, Asusu eeh Asusu

Haamini Mungu yupo
yeye husema atalishwa na matunda ya usupu usupu eeh usupuu

(CHORUS)
Usimdharau binadamu mwenzio,
kuwa eti wewe unapesa,
Mali na magari Haya yote ni ubatili, shukuru mungu kwa uhai
Usijisifu sana na huu mwili,
huu mwili ni chakula cha mchwa

No comments:

Post a Comment