UMETENDA MEMA Lyrics by Kambua
Nakushukuru wewee, nakutukuza wewe Umenitendea mambo ya ajaabu
Mimi nisemeje, ili nikushukuru
Nasema ewe mungu, umenitendea
(CHORUS)
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba
Wimbo wa moyo wangu,
na nafsi yangu yote
Yasema ewe mungu,
umenitendea Maisha yangu yote,
nakutolea wewe Kwa maana ewee baba, umenitendea
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment