Monday 7 March 2016

NIMEKUBALI LYRICS BY EUNICE NJERI

NIMEKUBALI lyrics by Eunice Njeri

(CHORUS)
Nimekubali nasema ndio Bwana ,
kwako ni salama nasema ndio

Nimekubali nasema ndio Bwana,
najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie

Bwana anatafta watakaomwabudu kwa roho na kweli
Na wakati ndio huu naamini umefika

Nisaidie kutenda kulingana mapenzi yako Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu ×2

(CHORUS)

Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh Tena ni udongo na wewe mfinyazi Baba, nifinyange; nitengeneze
Uishe nafsi yangu
chochote utakacho mimi nitatenda ×2

(CHORUS)
Oooh niumbie, niumbie moyo safi,
ili niweze kukutukuza Bwana
nitengeneze kwa ajili ya jina lako
Baba Wala usinitenganishe na uwepo wako
Mimi Bwana eeeh nimekubali
njia zako baba
Nasema ndio kwako baba

(CHORUS)

No comments:

Post a Comment