Monday, 7 March 2016

NIMEPANDA NIMESHUKA LYRICS

AFADHALI YESU

Nimepanda, nimeshuka Milima mabonde na mito nimevuka
Nimeosa, nimesota, nimekosa mpaka mpaka nimekopa
Nimeamini binadamu... Ole wangu roho wakanivunja
Niliambiwa nikakana,mimi mwenyewe nimekuja on
Tunachodhamini hakitufai Tufurahiii ooh najiuliza furaha yangu ni nani????

(CHORUS)
Afadhali yesu aaah Afadhali ye aliye na yesu ×4
Nimesakasaka mali saana
Nikipatapata bado nataka more

Nimesakasaka pesa saana Nikipatapata bado nataka more
Makosa yangu na dhambi zangu
Matendo yangu yale ninajuta
Umechukua umeondoa Ulisema hutayakumbuka

No comments:

Post a Comment