MITEGO lyrics by Kaberere
Alijipata amevaa suti na tai Kali,
ameamka anaenda kutafuta mashilingi Na kumbe mbele majaribu na mipango mikali mikali
Alirejea kama hana kitu mfukoni, akaangaliwa na uzuni na watoto waake Akawaimbia oringo ooh ooh, na kuwaimiza mungu yupo
(CHORUS)
Wamechimba shimo niingie,
wataingia wenyewe
Wameweka mitego nipitie, watapitia wenyewe Tegua tegua mitengo walioniwekea
Pangua pangua mipango walionipangia
Baba najua una nguvu ya kupangua, mitego ile imewekwa ili niabike
Baba najua una nguvu mingi,
anaweka imani kwako Natazama mbigu nakuona Paulo na Sila Natazama mbigu nakuona utumishi sitakando
Natazama mbigu nakuona baba Yusufu Natazama mbigu naoona... (CHORUS)
No comments:
Post a Comment