NIKUPENDEZE
Mienedo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze ×2
Nifanane na wewe yesu Niwe jinsi upendavyo
Niguze nifinyange, unibebe Niunde nitengeneze, niwe kama wewe
(CHORUS)
Nikupendeze, Nikupendeze Familia yangu, marafiki zangu tuwe sawa na wewe Biashara zangu, kila kitu changu kiwe sawa na wee ×2
Niguze nifinyange unibebee
Niunde nitengeneze niwe kama wewe
(CHORUS)
Nifanane na wewe yesu
Niwe jinsi upendavyo
Niguze nifinyange unibebe
Niunde nitengeneze niwe kama wewe (CHORUS)
No comments:
Post a Comment