Friday 11 March 2016

WAWEZA LYRICS BY EVELYN WANJIRU

WAWEZA lyrics by Evelyn Wanjiru

(CHORUS)
Waweza waweza waweza mwokozi Waweza mambo yote wewe mwaminifu ×2

Bwana mungu wangu, umenikomboa Umeniwezesha mimi wewe ni mkuu Ukaniita kwa jina langu eeeh, ukaniwezesha bwana wee nikuabudu bwana nikuimbie
Nilipokuwa kwenye dhambi, ukanionyesha mwanga,
wewe ni mwanga wangu bwana wewe ni mkuu

(CHORUS)
Bwana mungu wangu eeh wewe ulimsaidia Ayubu,
alipokuwa na shida nyingi
Bwana ulikuwa naye
Neno lako linasema, unazo fedha zote ni zako bwana wewe ni muweza

(CHORUS)

Wakati ninazo shida na magonjwa,
bwana unasema tuliite jina lako
Na we ndiye muweza,wewe ndiye mwenye nguvu
Wewe ni kimbilio baba, waweza mambo yote

(CHORUS)
Unaweza, unaweza, unaweza baba unaweza ×5

No comments:

Post a Comment