ONGOZA HATUA ZANGU lyrics by Christina shusho
Hatua za mwenye haki,
za ongozwa naye bwana
Na bwana hufurahia njia zake
wakati wote ×2
Nakukabidhi bwana, njia zangu zote
pia nakutumaini najua bwana utafanya Ata nijapo jikwaa,
sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza ×2
Umwangazie mtumishi wako,
uso wako Maana ninayatamani,
maagizo yako Elekeza hatua zangu,
kwa neno lako Uovu usije ukanimiliki ×2
Eeh bwana naomba Ongoza hatua zangu eeh bwana
Eeh bwana
ongoza mwendo wangu
Eeh bwana eeh bwana ×9
No comments:
Post a Comment