UNATOSHA Lyrics by Eunice Njeri
Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako, nakufwata wewe unayenipenda ×2
(CHORUS)
Bwana unatosha Wanitoshaa...
Mungu wa agano Wewe wanitosha ×2
Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako nimeisikia
Umenivuta bwana karibu na wewe
Karibu zaidi natamani niwe ×2
(CHORUS)
Moyo wangu usawa sioni ovu Wanitosheleza wanitosha...
Mwingine mie sina, wewe wanitosha Wanitoshaaa wanitoshaa..
No comments:
Post a Comment