Friday, 11 March 2016

ITAKUWA SAWA LYRICS BY BAHATI

ITAKUWA SAWA lyrics by Bahati

Nilipotenganishwa tu na mama
, niliingia kwa mtaa kutafuta butter
  Eeh masera walinata,
hakuna kule tumaini la kupata Hisia na uchungu,
mito mikubwa milima nilivuka Natumani tu kwa mungu,
awape nguvu nyumbani niliowaacha Nikaamua niende mbali, mbali na nyumbani
Nikaamua niende mbali kusaka ugali Nikaamua niende mbali, mbali na nyumbani
Nikaamua niende mbali, mbali na......

(CHORUS)

Itakuwa sawa Hivi waeleze nyanya na babu (itakuwa sawa)
Shangazi mwambie asife moyo (itakuwa sawa)
Hivi waeleze nyanya na babu (itakuwa sawa)
Waambie ooh itakuwa sawa Na hivi msichoke kukopa dukani paendapo pagumu...
Hivi muniombee.... maisha mjini bado ni suguu ×2
Naelewa na uchungu uliowabana
Naelewa si rahisi kupambana
Naelewa na machozi yamewakumba ×2 Mama papa Naelewa na uchungu uliowabana,
si rahisi kupambana Naelewa tukimwamini Rabana,
yote itakuwa sawa

(CHORUS)
Napitia mengi nasio utani,
waambie eeh Sijandaganywa na burudani,waambie eeh

(CHORUS)
Mweleze na nyanya eeh Mweleze na mjomba itakuwa sawa Mweleze masera eeh,
Musyoki wa Mbera itakuwa sawa
Mweleze Susana eeh
Mweleze na gukaa, itakuwa sawa
Na hivi msichokee

No comments:

Post a Comment