YUKO NA WEWE
This one for you... moyoni waumia
This one for you... kila mara walia
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it
when I say ×2
(CHORUS)
Yuko na wewe.. yuko na wewe
Futa machozi yesu yuko na weweee ×2
Nikiangalia vizuri Uko nyumbani pekee yako
Kila kitu kilienda mrama
Nikama wanakuchukia,
unaona ni vizuuri
Ukichukua maisha yako
Izo zote ni uwongo wa shetani
Neno lake bwana lasemaa
(CHORUS)
Amkaa furahia Kwani yesu amekuondoa milele
Rukaaa sherekea Kwani kwake kuna amani tele
Usijalishwe na za dunia Kwani kwa yesu unayo yote
Usiskize uwongo wa shetani
Neno lake bwana lasemaa
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment