Monday, 7 March 2016

SHUKA BABA LYRICS BY EUNICE NJERI

SHUKA BABA lyrics by Eunice Njeri

(CHORUS)
Shuka Utende Yesu,
Kenya Tunakungoja
Shuka Utende Yesu,
Tunakungoja Hapa
Hatutoki Bwana,
Hadi Tukuone Shuka ee,

Shuka Baba Jamii Zilizotengana, Mayatima Baba Viumbe Vyote Baba,
Wote Tunakungoja Jamii Zilizotengana, Tunakungoja Mayatima Baba Nena Neno Moja, Tunangoja

(CHORUS)
Wajane Na Wagonjwa,
Matajiri Wote Dunia Nzima Yahweh,
Wote Tunakungoja Neno Kwa Sauti,
Nena Neno Lake Tuko Tayari Kusikiza Wote Tunakungoja

(CHORUS)

Bridge:
Kama Siku, Siku Ya Pentekoste
Shuka Na Moto Wote Ututembelee x2

(CHORUS)
Shuka Utende Yesu,
Kenya Tunakungoja
Shuka Utende Yesu,
Watu wanakungoja

No comments:

Post a Comment