Monday 7 March 2016

NAPENDA LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO

NAPENDA lyrics by Christina shusho

Napenda Neno Lako
Napenda Hekima Zako
Napenda Sifa Zako
Kila Kitu Kwako Napenda

Napenda Hukumu Zako
Napenda Huruma Zako.
Kila Kitu Kitokacho Kwako Mimi Napenda
.

Mfalme Nakupenda

(CHORUS)
Napenda Utawala Wako
Napenda Ahadi Zako Yesu
Na Mafundisho Yako,
Na Ukarimu Wako
Napenda Nione Ukinitendea
Napenda Nione Ukinibariki
Napenda Nione Ukiniinua
Kila Kitu Mimi Napenda

Napenda Nione Ukiniponya
Napenda Nione Ukinifariji
Napenda Nione Ukiniinua Kila Kitu Kwako Bwana Mimi Napenda x2

(CHORUS)
Napenda Napenda,
Kila Kitu Kwako Mimi Napenda Napenda
O Napenda, Kitokacho Kwako
Mimi Napenda
(CHORUS)

No comments:

Post a Comment