Saturday, 19 March 2016

NANGOJA LYRICS BY EUNICE NJERI

NANGOJA lyrics by Eunice Njeri
Nangoja, nakungoja bwanaa natulia,
najua upo Nibadilishe uniokoeee....

naomba Ewe bwana nakuinulia nafsi yangu
Mungu wangu naona kiu nijaze Ewe bwana

nijulishe mimi njia zako
Niongoze kwa roho na kweli
naomba Niumbie moyo safi na tena unibariki
Nangoja miguuni pako mimi nangoja

(CHORUS)
Ewe bwana kumbuka rehema zako Mungu wangu kumbuka fadhili zako Nisamehe kwa jina lako Yahweh naomba Niwe mwema siri zako nijue baba
Niumbie moyo safi nihusishe tena
Nibariki mimi nangoja

(CHORUS)

No comments:

Post a Comment