NIACHE NIIMBE Lyrics by pitson
Siku moja mama nitakujengea nyumba ya kifahari
Uishi poa mama na pesa za mziki
Siku moja baba nitakununulia gari la kifahari
Uendeshe baba na pesa za mziki
Siku moja dada nitakulipia karo ya shule Uende university na pesa za mziki
Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa
Uwe sonko brother na pesa za mziki
(CHORUS)
Ikiwa nitakuwa rubani, niendeshe ndege Niwe rubani, rubani anaimba
Ikiwa nitakuwa karani, karani wa benki Niwe karani, karani anaimba
Ikiwa nitakuwa waziri, waziri wa serikali Niwe waziri, waziri anaimba
Oooh popote niendapo, chochote nifanyacho Yeyote nitakuwa niwe naimba
Mama na baba naomba mniache niimbe Niache niimbe
Shule nitaenda lakini mniache niimbe
Kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe
Mimi naahidi kuwa nitaimba nyimbo za injili Mungu ni mwaminifu ×4
Hakuna anaweza sema hajapewa kitu cha kufanya
Mungu ni mwaminifu
Wengine wanauza nguo gikosh
Wengine wanashona,
wengine wamekonda wanakimbia
Ma-bouncer wameshona
Wengine ma odijo -polisi -CEO- Ma hustler (chorus)
No comments:
Post a Comment