Monday, 7 March 2016

VIP LYRICS BY MR. VEE

VIP lyrics by Mr Vee
Shalalala shalalala oh nanananana Shalalala shalalala oh nanananana
Mungu kachukua muda, taratibu kaniumba hivo
Kwa hivo mimi ni wa maaana, asije mtu akapinga eeeh

Believe me A'mma VIP aaaaaahhhh Believe me A'mma VIP eeeeeh

(CHORUS)
Sisi ni waamaana, wooiiooo waamaana Waamaana woooiiiooo waamaana
Sisi ni waamaana Sisi ni waamaana VIP

Hata kama mapato yangu ni madogo yoyoo
Madharau haifai hata kidogo yoyooo Heshima kwa wote wakubwa na wadogo yoyoo
Kwa wote wote maskini pia masonko Eeeh VIP, sisi wote ni waamaana sana VIP sisi wote ni waamaana sana Kila mmoja ana kazi ya kufanya (fanya)
Kulingana na mpango wake mola (mola ) Wanakuona mnyonge mbona, let them know...

(CHORUS)
Na imagini ni mpango wa mungu mimi na wewe tuwepo
Na imagini akiiumba ulimwengu mawazoni tulikuwepo
Huyo anaona hatufai ni mwongo yoyooo Huyo...
anaona hatufai ni mwongo yoyoo
Aaaah ni mwongo yoyooo, aaaah (CHORUS)

No comments:

Post a Comment