Monday, 7 March 2016

WAKO MWANA LYRICS BY MERCY MASIKA

Mwema  lyrics

Wako mwana ukamtumaaa duniani
Kisa na maana Nipate uzima jamani ×2

Ishara kwamba unanipenda Hivyo nshaelewa sifa nitakupa zaidi×2

(CHORUS)

Nasiwezi jizuia Kusema wako wema nasio kama Najigamba umenitenda mema ×2

Umekuwa mwema kwangu
Umenitoa gizanii...
Nlipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaniii,kwako nkajificha
Sasa nitakupa niniii... Iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoniii Sifa nitakuimbia

Ilikugarimu msalambani unifieee
Hivyo inanibidi, sifa nikuimbie Eeeeeh Wema wako niseme Ili na wengine wakujue
Wote waungane nami Na wazee ishirini na nne

(CHORUS)

(WACHA NIRINGE)
Umekuwa mwema kwanguu
Oooh Yahweh oooh kwanguu
Oooh umenitendea àaaah
Kwanguu eeeeh (CHORUS)

No comments:

Post a Comment