NDIO YAKO Lyrics by Gloria muliro
Ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu Jinsi ya kumtendeaaa
mwanadamu Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,
ata tena ninsingekuwa mahali nilipo Ungeambiwa sifai,
wangekukanya vikali
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale
Baba oooh Unabariki unayependa,
unabariki unavyopenda
Mimi nahitaji eeeh
(CHORUS)
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango
Hakuna sikio lenye funiko jamani
Wala sijaona jicho lenye pasia
Adui zako wangelikuwa na uwezo Wangefunga macho,wangefunika masikio Wasikuone ukiwa juu,
wasisikie umebarikiwa
Meza utaandaliwa mbele yao Utakula, utakunywa mbele yao
Nasema ndio ndio ya bwana
(CHORUS)
Eeeh yesu usiposema ndio,
mali yangu akili zangu hazitaweza Wanasema sema ndio, yatoshaaa (CHORUS)
No comments:
Post a Comment