MUNGU MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru
Unabaki kuwa mungu pekee
(CHORUS)
Zaidi ya yote, utabaki kuwa mungu mkuu Alpha na Omega, hubadiliki kamwe ×2
Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako
Kaskazini, kusini pia naona ukuu wako Magharibi nako mashariki pia naona ukuu wako
(CHORUS)
Hakuna mkamilifu katika wanadamu yeeh,zaidi ya ewe mungu wangu
Kila goti lipigwe,
kila ulimi ukiri kuwa wewe ni mungu pekee pekee
(CHORUS)
Umenipigania vita vikali, ambavyo mimi singeweza pekee yanguuu
Maaduii waliniandama, lakini ukawatawanya kwa njia sabaa
Usifiwee, uabudiwee iyeeeh
(CHORUS)
Anabaki kuwa mungu tuu
Anabaki kuwa mungu tuu
Na kwa wakamba (mungu tu)
Na kwa waluhya (mungu tu)
Nao wakikuyu (mungu tu)
Nao waturukana (mungu tu)
Ata wakisii (mungu tu)
Ata waluo (mungu tu)
Na kwa wamaasai (mungu tu)
Na kwa wakalenjini (mungu tu)
Wa mijikenda (mungu tu)
Anabaki kuwa mungu tu
Na kwa wazungu (mungu tu)
Afrika yote (mungu tu)
Dunia yote utabaki kuwa mungu mkuu (CHORUS)
No comments:
Post a Comment