Friday 11 March 2016

WAKUABUDIWA LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO

WAKUABUDIWA lyrics by Christina Shusho

(CHORUS)
Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu
Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote
Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu ×2

Umesema wewe, jina lako liko na liko niwe mungu
Unafanya mambo, yaliyo juu ya fahamu zetu mungu
Ukisema ndio, nani awezaye kupinga hakuna
Wewe unatupa, kushinda na zaidi ya kushinda
Unatupandisha,utukufu hadi utukufu mungu ×2

(CHORUS)
Uzima wetu, uko miikononi mwako mungu Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu mungu
Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu Mwanadamu nani, wakulinganishwa na wewe mungu
Nani mwenye nguvu, wa kusimama mbele yako mungu ×2

(CHORUS)
Bwana utukufu wako singuse,
mbali utukufu ukurudie wewe mungu wangu

No comments:

Post a Comment