Showing posts with label Nitacheza .. nitaruka. nitaimba. wimbo ule. mtamu. Show all posts
Showing posts with label Nitacheza .. nitaruka. nitaimba. wimbo ule. mtamu. Show all posts

Thursday, 26 November 2015

NITAKWENDA KWA SHANGWE NA VIGELEGELE

Nitakwenda  kwa  shangwe  na  vigelegele 
Niingie  nyumbani  mwa  Bwana  Mungu  wangu.
   Chorus. :
Nitacheza , nitaruka  nitaimba  wimbo  ule  mtamu.
Baba  njooni   mama  njooni , tufurahi, mbele  Za  Mungu  watu *2.

Stanza  two.
Njooni nyote  wazee  vijana  na  watoto
Shangilieni leo  nyumbani  mwake  Bwana.

Stanza  three..
Nitatatangaza   Sifa  zake  Mungu mwenyezi
Kwenye  kusanyiko nitakuambia  wewe.

Stanza  four :
Nitasema  Asante  kwako  Mola  Rabuka.
Kwa  ukarimu  wako  usio  na kifani.

Stanza  five.
Nitatoa  shukrani  kwako  Muumba
Nitakushukuru leo  kesho  na  daima.