Stanza one ;
Tumetafiti tukauliza, maandiko
Tukafunua, kutambua watakatifu wanafanya kazi gani mbinguni.
Chorus :
Tutamsifu Mungu , tutamwimbia watunzi
Tutampangia Nota mpaka mbinguni *2
(usiku na mchana, jioni na asubuhi,
Kiangazi na masika)
Stanza two :
Enyi wasomi itiambieni , wanasayansi
Tujunga, katika mambo ya mbinguni, nini
Kinafanyika duniani.
Stanza three :. Tumetambua kyle Mbinguni hakuna kwenda ofisini, wala kumbi
Za burudani wala kulimo hakuna lakini.
Stanza four :
Kumbe furaha Za Dunia hii ni upumbavu ni
Wazimu, na anasa zafaa nini, sisi waimbaji tumeamua
Stanza five.
Waumini wote furahini Makasisi
Shangilieni nanyi watawa jiungeni, kwa
Waimbaji hakuna matata.