Showing posts with label ALFAJIRI YA KUPENDEZA.. song. Show all posts
Showing posts with label ALFAJIRI YA KUPENDEZA.. song. Show all posts

Thursday, 26 November 2015

ALFAJIRI YA KUPENDEZA

Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (Njooni) {Njooni baba mama na watoto Njooni wote mbele za Bwana Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka } *2

Ndege wanamshukuru, kwa sauti za kupendeza Na sisi tumshukuru, kwa zawadi alizotupa (Njooni) Wanyama pia na mimea, vyote vimeumbwa na Mungu Vitu vyote vya duniani, vyapaswa kumshukuru Mungu (Njooni) Aliumba dunia hii, kaweka giza pia mwanga Mchana tufanyeni kazi, usiku na tupumzike (Njooni)

ALFAJIRI YA KUPENDEZA

ALfajiri  ya kupendeza  ni siku naeza siku yenye  Baraka.
Jua limekwisha  chomoza  lawamsha  wote  Waliolala.
(ndege ) *2nao wanalilia  kushuku run Mungu (njooni) *2
Baba  mama na watoto  njooni  mbele  Za Bwana  (tumtolee  shukrani  zetu  kwa  kutoa  sadaka*2)

Stanza one ;
Ndege  wanamshukuru  kwa  sauti  Za  kupendeza.. Na sisi tunamshukuru  kwa  zaidi alizotupa  njooni.

Stanza two :
Wanyama  pia  na mimea, Vyote  vimeumbwa  na  Mungu
Vitu  Vyote  vya  Dunia  hii vyapaswa  kumshukuru  Mungu  njooni.

Stanza  three :
Aliumba  Dunia  hii, kaweka  Giza  pia mwanga,
Mchana  tufanyeni  kazi, usiku  na tupumzike. Njooni.