Thursday 26 November 2015

UTUKUFU.. AMECEA

Stanza one.
Utukufu kwa  Mungu  Juu  mbinguni, na
Amani   kote duniani(kwa watu) wenye 
Mapenzi  mema.

Chorus :
Tunakusifu  Baba  tunakuheshimu, twakuabudu
sisi  tunakutukuza. *2

Stanza two :
Twashukuru  Mungu  kwa  'tukufu_
Wako  mkuu  ewe  Mungu  mfalme (eeh Baba)
WA Mbingu  yetu.

Stanza  three :
Bwana  wetu  mwokozi  Yesu  Kristu_
Mwana  wa  pekee wake
Mungu  (aliye) mwanakondoo wa  Mungu.

Stanza  four :
Unayeziondoa dhambi  zote _Za dunia
Utuhurumie (pokea) pokea  ombi  letu.

Stanza  five ;
Wewe  unaye keti kuume _kwake  Baba
Utuhurumie  (sikia) ombi  letu.

Stanza  six.
Kwani  pekee  yako  ndiwe  Bwana_peke
Yao  mkuu  na mkombozi (pekee) pekee 
Yesu  Kristu.

Stanza  seven.
Kwa umoja  wa  roho  mtakatifu_ndani
Yake  Baba. Watukuzwe (eeh  Yesu) milele   na  milele.

No comments:

Post a Comment