Thursday 26 November 2015

Chereko

Chorus :
Chereko  Chereko  Chereko  Chereko  Chereko
Bwana  amefufuka *2

Stanza  one
Siku  ya  Tatu , Malaika  WA  bwana  akamwambia  Maria , Bwana  amefufuka.

Stanza  two ;
Petro  Yoana, kaburini  waende  wakalikuta  kaburi  likowasi *2

Stanza  three :
Malaika  kasema  nendeni  galilaya  hauko ndiko  aliko, amewatangulia.

No comments:

Post a Comment