Saturday 28 November 2015

NAJITIA KITANZI BY willy Paul and Gloria I

Willy Paul
Ooooh Willy, Willy, Willy Paul Tena, Na Gloria, Na Gloria
Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah {×3} Msaidizi Mama, Mama, Mama, Mama,
1:(Willy Paul & Gloria Muliro)
Jolly We Mjolly,
Tatizo kubwa ninalo mimi, Jolly we mjolly, tatizo kubwa ninalo mimi, (Ninalo mimi)
Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza?
Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza?
Naomba niskize, eh, Nipe sikio,

(Willy Paul & Gloria Muliro)

Najitia kitanzi, najitia kitanzi,
Nimechoshwa sana, ah, ah,
Haina haja kitanzi,
haina haja kulia,
Haina haja kufa moyo,
maulana bado anakupenda,
2: 
(Willy Paul & Gloria Muliro)
Oooh bila huruma,
msela nateseka na, si utani,
Oooh kudharauliwa,  
kudhulumiwa wanaojiweza,
Oooh nifanye vipi mama?,
(ooh nifanye vipi?)
Hivi niende wapi mama?
(ooh niende wapi?)
Why, why, why, why, why, Why, why, why, why, why,
Hebu sikiliza mwana, nikwambie, Mkamilifu hayuko, I'll Muumba
Tena yeye anafahamu vyema alivyokuumba,
Usiogope, rudi mwana atakupokea,
Laiti, ungalijua, jinsi anavyokupenda, ah,
Laiti ungalijua, yalivyo mengi aliyokuandalia ah,

... 3(Willy Paul & Gloria Muliro):
Hivi willy nina shaka,
Shaka ya nini tena?,
Nahisi nimemkosea baba,
Ni wa huruma wewe njoo,
Kwa nini mama?
Atakurekebisha,
Je, atanikubali?, atanikubali
Nafsi yangu,
Natamani Willy, kurudi kwake jalali,
Kurudi kwake jalali,
Lakini mami mi naogopa, Wataniwia radhi,

No comments:

Post a Comment