Thursday 26 November 2015

NITAKWENDA KWA SHANGWE NA VIGELEGELE

Nitakwenda  kwa  shangwe  na  vigelegele 
Niingie  nyumbani  mwa  Bwana  Mungu  wangu.
   Chorus. :
Nitacheza , nitaruka  nitaimba  wimbo  ule  mtamu.
Baba  njooni   mama  njooni , tufurahi, mbele  Za  Mungu  watu *2.

Stanza  two.
Njooni nyote  wazee  vijana  na  watoto
Shangilieni leo  nyumbani  mwake  Bwana.

Stanza  three..
Nitatatangaza   Sifa  zake  Mungu mwenyezi
Kwenye  kusanyiko nitakuambia  wewe.

Stanza  four :
Nitasema  Asante  kwako  Mola  Rabuka.
Kwa  ukarimu  wako  usio  na kifani.

Stanza  five.
Nitatoa  shukrani  kwako  Muumba
Nitakushukuru leo  kesho  na  daima.

No comments:

Post a Comment