Thursday 26 November 2015

Beba mikononi

Stanza one.
Tusimame  ndugu  (leo) twende  kwake
Bwana  (kweli) tusisite  ndugu  (leo) amka  twende  hima *2
Beba  mikononi  uliyojaliwa, Peleka  kwa  Bwana, upate  Baraka. *2

Stanza  two
Sadaka  na fedha (kweli) fedha  Za mifuko (ndugu)  amka  upeleke  (leo) mezani  kwa  Bwana. *2

Stanza three.
Mavuno  mifugo  yote  ni  Mali  ya  Bwana  (kweli) tupeleke  kwake  (leo) atazipokea. *2
.
Stanza  four.
Mkate  divai  (leo) tupeleke  kwake  (leo,),
Tupate  Baraka  (kweli) mbele  zake  Bwana. *2

Stanza  five..
Twende  ndugu  twende  (sote)mbele  zake  Bwana  (Mungu) tupelo nafsi  (leo) zetu  kwake  Bwana. *2

No comments:

Post a Comment