Thursday 26 November 2015

Nikupe nini Mungu wangu

Nikupe  nini  Mungu  wangu, Nikupe  nini  Mungu  wangu  chakukupendeza. Chakukupendeza *4 siku  hii  ya  leo.

Ninacho  kidogo  chakukupendeza  ewe  Mungu  wangu 
Nilichoandaa  siku  hii ya  leo  ndicho  hiki  Bwana.

Sadaka ya leo  ni sadaka  Safi  isiyo  na doa.
Twakuomba  Bwana  Twakuomba  mwana  upendezwe  navyo.

Twaleta mkate  twatoa  divas... Upokee  Bwana
Fedha nazo. Bwana  tunakotolea  upokee  Bwana.

No comments:

Post a Comment