Saturday 28 November 2015

I will follow you lyrics. By Gloria Muliro

VERSE 1 LYRICS:
Unaponipeleka mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima nijue
Njia zako hakika
Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa,
sawa Njia zako hakika
Mambo yako sambamba
Mipango yako sa.a......wa

CHORUS LYRICS:
where you go,al  go,
where you stay al stay,
where you move al move
Almove,i will follow you

VERSE 2 LYRICS:
hakuna dhiki kwako,
hakuna chuki kwako,
wala unafiki kwako,
baba kwako,
ni marafiki kwako,
kuna amani kwako,
baba kwako,hakuna vita kwako,
hakuna magonjwa kwako,
wala talaka kwako,
baba kwako kuna upendo tele kwako,
furaha kwako,
umoja kwako,baba kwako

CHORUS LYRICS:
where you go,al go,
where you stay al stay,
where you move al move al move,
i will follow you

No comments:

Post a Comment