Thursday 26 November 2015

Mke mwema lyrics by bonny mwaitege

Hapo mwanzo mungu alimwumba Adamu Bustani ya edeni aitunzw Baadaye Mungu aliona sio vyema Adamu awe pekee yake akampa mke mwema Hapo mwanzooo Mke mwema anatoka kwa Bwana Nimemwomba Mungu nangojea Mke mwema anatoka kwa Bwana Nimemwomba Mungu nangojea Mke mwema aaa Kwa akili zangu ni vigumu kutambua ni nani aliyeumbwa kwa ajili yangu Katika mabinti wengi ni nani Mungu ndiye anajua mke mwema (Chorus) Majukumu yananizidi jamani nachoka Kazi za ndani haziishi mke sina Majukumu yananizidi jamani nachoka Kazi za ndani haziishi kazi sina Nimeshapika deki, Nguo zangu zote chafu Nimemaliza kufua, vyombo vyote ndani vichafu Maharage yanaungulia, ndani maji nimeishiwa Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika bado (Chorus) Ukitafuta chumba cha kupanga kama hujaoa Unaweza kuzunguka mpaka ukachoka Ukitafuta chumba cha kupanga kama hujaoa Unaweza kuzunguka mpaka ukachoka Kila nyumba unayokwenda unaambiwa “Vyumba viko, umeoa? kama hujaoa kaka samahani Hapa hatupangishi vijana ambao bado hawajaoa.” Oh! (Chorus)

No comments:

Post a Comment