Thursday 26 November 2015

NANI KAMA WEWE LYRICS

Solo: Nani kama Wewe , Nakwinua mungu wangu leo, Nani kama wewe, Nakupenda [Chorus] Nani kama Wewe , Nakwinua mungu wangu leo, Nani kama wewe, Nakupenda X2 Miguuni pako, Nakuinamia bwana, Heshima na utukufu baba, Nakupa yesu. Nimekuja nikuinue, Nimekuja nikupende, Miguuni pako, Nakupenda. [Chorus] Henzini pako, nakuinamia bwana, Henzini pako, nainua mikono Henzini pako, nakuabudu bwana, Henzini pako pokea utukufu, [Chorus ] Baba hakuna Mwingine tena, Mwenye enzi na utukufu, kama wewe shallom Baba U mungu wa wajane baba, Mweza yote kwa mayatima, Nani mwingine kama wewe,Nakupenda. Sina mwingine kando yako, Ninakushukuru baba, Nakwinamia wewe, unastahili . [Chorus ] X3 Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana. mfariji kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana. Duniani, mbinguni na chini baba, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana. Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana. Amina, Amina oh , ooh , Amina Milele X 10 Wewe ni mungu tunasema, Amina Milele Jehova Shallom, Jehova Nissi, Amina Milele Jehova Elshadai, Jehovah Adonai, Amina Milele

No comments:

Post a Comment