Thursday 26 November 2015

Nimevunja mkataba

Stanza one :.
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  umeniletea
Matatizo  haha. Ondoka  kwangu  haraka kwa
Jina la  Yesu  Ondoka kwangu.
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  ulisababisha
Nikam Sahar Mungu . Ondoka...

   Nimevunja mkataba  na wewe,
    Ondoka  Ondoka
(nasema) namkaribisha  Yesu moyoni  mwangu.) *2

Stanza  two :.
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  ulisababisha . Nikafungwa  gerezani.
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  ulisababisha  nikapokea  rushwa.

Stanza  three :.
Lo kumbe  ni wewe  shetani  ulinipeleka 
Katika  njia  ya  giza_
Lo! Kumbe  ni  wewe  shetani  uliniongoza  katika  dhambi_

Stanza  four :
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  unakosanisha  ndugu  na majirani_
Lo! Kumbe  ni wewe  shetani  unasababisha  vifo  vina kuwa Vingi

No comments:

Post a Comment