Thursday 26 November 2015

Aulaye Mwili wangu


Aulaye  Mwili  wangu  na  kuinywa  damu  yangu  (asema  Bwana) hukaa  ndani  yangu  Nami  hukaa  ndani  yake.

Stanza  one :
Aulaye  Mwili  wangu  na kuinywa damu yangu anauzima  WA  milele.

Stanza  two :
Njooni  enyi  wenye  njaa, njooni  enyi  wenye  kiu, njooni  kwangu  niwashibishe.

Stanza  three :
Mlapo  chakula  hiki. Munywapo  kikombe  hiki
Mwatangaza  kifo  chake  Bwana.

Stanza  four :
Aniaminiyee mimi, na kushika niyasemayo, nitamfufua  siku  ya  mwisho.

No comments:

Post a Comment