Thursday 26 November 2015

NOTA MPAKA MBINGUNI

Stanza one ;
Tumetafiti tukauliza, maandiko
Tukafunua, kutambua  watakatifu  wanafanya  kazi  gani  mbinguni.

Chorus :
Tutamsifu  Mungu , tutamwimbia  watunzi
Tutampangia  Nota  mpaka  mbinguni *2
(usiku na mchana, jioni  na asubuhi,
Kiangazi na masika)

Stanza two :
Enyi  wasomi  itiambieni , wanasayansi
Tujunga, katika  mambo  ya  mbinguni, nini
Kinafanyika  duniani.

Stanza  three :. Tumetambua  kyle Mbinguni  hakuna  kwenda  ofisini, wala  kumbi
Za burudani   wala  kulimo hakuna lakini.

Stanza  four :
Kumbe furaha  Za Dunia hii ni upumbavu  ni 
Wazimu, na  anasa  zafaa  nini, sisi  waimbaji  tumeamua

Stanza  five.
Waumini  wote  furahini  Makasisi
Shangilieni  nanyi  watawa  jiungeni, kwa
Waimbaji hakuna  matata.

No comments:

Post a Comment