Thursday 26 November 2015

Ambassadors of christ . Kwetu pazuri

Ninayo hamu kurudi nyumbani Nyumbani kwetu ambapo hatutatengana hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi Wala hakuna vyandarua maana hakuna malaria Kwetu pazuri ni pazuri nakuambia Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko kwetu pazuri nimeshapakumbuka Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu Kwa amani na furaha tena ya ajabu Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni*2 Hii dunia imejaa shida kama hujui nenda hospital kaone Lakini kwetu hakuna fani ya tabibu Watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya Hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani Mpendwa njoo, turudi nyumbani Asubuhi yaja tuyakimbie ya dunia Atayekosa hapo kweli ni hasara Aya matatizo ni mitego ya shetani Hili tushindwe kufika nyumbani kwetu pazuri Lakini kwa jina jina la Yesu tumemshinda tunaenda

No comments:

Post a Comment