Thursday 26 November 2015

Hope HODI

Hodi  Hodi  nyumbani  mwake  Bwana, ninabisha  nifungulie
Nimekuja  nyumbani  mwake leo, Nimekuja kukuabudu.
Kwa unyenyekevu  naijongea, Meza yako  yenye  Baraka
Nakuja  na Sala  zangu  e  Bwana, nakuomba  zisikilizeu
Ninakutolea  sadaka  yangu  Mungu  uipokee.

Stanza  two.
Njia  Za  Bwana  zapendeza zinapendeza  macho  kama  nini. (natamani  kuingia  hekaluni  nikamwabudu) *2

Stanza  three.
Nimeingia  hekaluni  Nimeingia  hekaluni  mwako.
(Nimekuja  kuabudu  kusududu  nyumbani  mwako*2

Stanza  three.
Unipokee  Mungu  baba  unitakase  mimi  mwenye  dhambi
(Nimekuja mbele  zako Mungu  baba  unipokee) *2
U

No comments:

Post a Comment