Thursday 26 November 2015

Rose muhando. Ndivyo ulivyo

BETI YA KWANZA Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo Mkuu Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo ooooh Nilidhani kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo ooh Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh Simwepesi wa hasira, Baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo ooh Wewe, unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo ooh Mawazo Yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, Baba, ndivyo ulivyo ooh Nani kama Wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh Wema wako haueleweke katikati ya wanadama Jehova, wewe, kumbe ndivyo ulivyo ooh ---------------------------------------------------------- KIITIKIO ROSE Ndivyo ulivyo, Ndivyo ulivyo, Ndivyo ulivyo ooh Hakuna kupinga ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo x2 ROSE: Ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa, hakuna kupinga WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Wewe Mungu wa amani WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Mungu wa mapenzi mema WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba oooohooo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE Babaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna wa kupinga ROSE: Wewe si mwepesi wa hasira WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Huangalii mabayaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga ROSE: Wewe unatuwazia mema WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa oh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: HaleluyaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyoROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga ROSE: Nasema kumbe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyoROSE: Kumbe ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: BabaaaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga -------------------------------------------- BETI YA PILI Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji Baba, kumbe ndivyo ulivyo ooh Usiku na mchana hulali usinzi Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh Pale, tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh Huingilia kati yale yote tunayoshindwa, wewe, ndivyo ulivyo ooh Msaada wakati tunapochoka, Yeeeeehova, ndivyo ulivyo ooh ------------------------------------------------------- KIITIKIO ROSE: Ndivyo ulivyo ooh x3, Hakuna kupinga ROSE: Wewe Umepanda milimani WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyoo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: aah..oooh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna kupinga ROSE: Mungu wewe, mwenye mamlaka WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo, Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: weweeee hee WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga ROSE: Uliyeketi mahali pa juu WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Mungu Uliye hai WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Yeeehova ataishi WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna kupinga ROSE: Huhesabu mabaya yetu WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Wala hutazami dhambi zetu WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa oh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga ROSE: Nasema kumbeeee WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Kumbeee WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Kumbeee, ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyohakuna kupinga ROSE: weweeeee WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyoo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Hakuna kupinga WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Oooh Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga BETI YA TATU Mungu, uliwakusanya walioachwa, ukawakumbatia, Baba,ndivyo ulivyo ooh Waliokosa, tumaini, huweka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh Waliokataa tamaa wewe unawatia nguvu, Baba, ndivyo ulivyo ooh Vile nionavyo mimi, si kama wewe utazamavyo Baba, kumbe ndivyo ulivyo ooh Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Weweeeee eh, kumbe ndivyo ulivyo, hakuna kupinga ---------------------------------------------------------------- KIITIKIO ROSE: Eeeeh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaaa eeh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Baba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna wa kupinga ROSE: Baba nakuinua Wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Nakuambudu wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Hivi ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa ahaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Nakushukuru Ulivyoniumba WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Umenikumbuka WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Kumbe ndivyo ulivyo WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga ROSE Umenitete mbele ya wenye nguvu, Yehova WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo,Baba yangu WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga ROSE: Wacha nikuinue wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Wacha nikuabudu wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Ndivyo ulivyo, Babaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Wacha nikuinue wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Nisimulie matendo yako WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Babaaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Acha nikuimbie wewe WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Kwa sauti yangu WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Yehooovaaaa WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: ooooooohhhh WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga ROSE: yeeeeeeheeeee WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo ROSE: Wewe ndivyo ulivyo MUNGU AKUBARIKI Mwandishi: Rulea Sanga

1 comment:

  1. It's a great song well sang. thanks for the lyrics.

    ReplyDelete