Thursday 26 November 2015

ALFAJIRI YA KUPENDEZA

ALfajiri  ya kupendeza  ni siku naeza siku yenye  Baraka.
Jua limekwisha  chomoza  lawamsha  wote  Waliolala.
(ndege ) *2nao wanalilia  kushuku run Mungu (njooni) *2
Baba  mama na watoto  njooni  mbele  Za Bwana  (tumtolee  shukrani  zetu  kwa  kutoa  sadaka*2)

Stanza one ;
Ndege  wanamshukuru  kwa  sauti  Za  kupendeza.. Na sisi tunamshukuru  kwa  zaidi alizotupa  njooni.

Stanza two :
Wanyama  pia  na mimea, Vyote  vimeumbwa  na  Mungu
Vitu  Vyote  vya  Dunia  hii vyapaswa  kumshukuru  Mungu  njooni.

Stanza  three :
Aliumba  Dunia  hii, kaweka  Giza  pia mwanga,
Mchana  tufanyeni  kazi, usiku  na tupumzike. Njooni.

No comments:

Post a Comment