Saturday 28 November 2015

Marion shako... Nafsi yangu isichoke lyrics

Chorus

Nafsi yangu usichoke,
roho yangu msifu Bwana Alihadi atatenda, mtumanie Bwana.
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana. Verse1

Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Verse 2:
Mawazo yake sio yetu,
njia zake si kama zetu
Mbingu zilivyo juu ya nchi,mawazo yake ni makuu
Ataagiza fadhili zake, wimbo wake kwangu usiku Sifadhaike usiiname, mtumainie bwana (Chorus)

No comments:

Post a Comment