Thursday 26 November 2015

Ni Nani aliye mwema

Ni Nani  aliye  mwema  mbele  ya Mungu *2 hakuna hata  mmoja  aliye  mwema, wote  watenda  dhambi  na kupungukiwa, utukufu WA Mungu  muumba  baba.

Muongo  wewe  Tena  WA  kupindukia, wanyenyekea  na kuomba  Sala  ndefu  tuache  uongo  sisi tuwa dhambi.

Masengenyo majivuno si  tumejawa  maringo  tunayo  kama  tausi  tuache uongo...
.
Wewe  umebarikiwa  na  Mali  nyingi  na  Mungu humpatii  hata  kidogo  tuache  uchoyo sisi  Mungu  katupa.

No comments:

Post a Comment