Thursday 26 November 2015

Amenitia mafuta

Roho  wake  Bwana  Mungu  wetu  yu  Juu
Yangu, amenitia  mafuta  kuwahubiria  wanyenyekevu Habari  naeza. *2

Stanza  one ;
Amenituma  ili  kuwaganga  waliovunjika  moyo.
Stanza  two :
Uhuru  kwa mateka  Tena  wamiofungwa  wafunguliwe.

Stanza  three..
Kushangaa mwaka  wake  Bwana,  Mungu  uliokubaliwa.

Stanza  four.
Kuwatangazia  wote  siku  ya  kizazi  change Mungu  wetu.

No comments:

Post a Comment